Idhaa ya Kiswahili ya UM

Neno la Wiki: Halisi, Uhalisi, Uhalisia

Neno la Wiki: Halisi, Uhalisi, Uhalisia

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno “Halisi”, "Uhalisi" na “Uhalisia”.  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Sauti -

Sikufahamu Ureno zaidi ya mchezaji nyota Ronaldo- mhamiaji

Sikufahamu Ureno zaidi ya mchezaji nyota Ronaldo- mhamiaji

Nchini Syria vita ikiingia mwaka wa saba, wananchi bado wanaendelea kukimbia nchi hiyo ili kusaka hifadhi ugenini. Takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kwamba zaidi ya wasyria milioni 7 wamekimbilia ugenini na wanapatiwa hifadhi katika nchi ya tatu.

Sauti -