idhaa ay Kiswahili ya Umoja wa Mataifa

Adhabu ya kifo sio kigezo cha kumaliza ugaidi Misri

Adhabu ya kifo sio kigezo cha kumaliza ugaidi Misri

Umoja wa Mataifa umeshtushwa na taarifa kuwa ndani ya wiki moja watu 20 wamenyongwa hadi kufa huko nchini Misri baada ya kushtakiwa katika mahakama ya kijeshi nchini humo.

Sauti -