Houthi

Mashambulizi Yemen yaendelea kuwa ‘mwiba’ kwa raia

Umoja wa Mataifa umesema idadi ya raia waliofariki dunia kwenye mashambulizi huko Yemen kwa mwezi uliopita wa Aprili ni kubwa kuwahi kushuhudiwa mwaka huu wa 2018.

Furaha itarejea Yemen tukiwekeza kwa watoto- UNICEF

Miaka mitatu ya mzozo nchini Yemen, bado makombora yameendelea kuporomoshwa kwa raia wasio na raia.

Sauti -
2'26"