homa ya ini

WHO yahimiza nchi kuwekeza katika kutokomeza homa ya ini

Kuelekea siku ya kutokomeza homa ya ini Julai 28, shirika la afya ulimwenguni, WHO limetoa wito kwa nchi kuchukua fursa kufuatia kupungua kwa gharama ya kuchu

Sauti -
2'26"

26 Julai 2019

Jaridani Julai 26, 2019 na Arnold Kayanda- ikiwa ni Ijumma

Habari kwa Ufupi kuanzia Homa ya ini, mashambulizi ya anga Syria na Hatua dhidi ya kukabiliana na Ebola.

Sauti -
9'54"

WHO yahimiza nchi kuwekeza katika kutokomeza ugonjwa wa homa ya ini

Kuelekea siku ya kutokomeza homa ya ini Julai 28, shirika la afya ulimwenguni, WHO limetoa wito kwa nchi kuchukua fursa kufuatia kupungua kwa gharama ya kuchunguza na kutibu homa ya ini inayoambukiza na kuimarisha uwekezaji katika kutokomeza ugonjwa huo kabisa.

Tusipopima na kutibu haraka homa ya ini tutakuwa na mtihani mkubwa -WHO

Mataifa yote duniani yametolewa wito wa  kuongeza  huduma za haraka za upimaji  na matibabu dhidi ya homa ya ini ili kufikia malengo ya afya yaliyokubaliwa duniani.

Sauti -
1'44"

27 Julai 2018

Jarida na Siraj Kalyango, limejaa habari kemkem.

Sauti -
11'20"

Tusipopima na kutibu haraka homa ya ini tutakuwa na mtihani mkubwa -WHO

Mataifa yote duniani yametolewa wito wa  kuongeza  huduma za haraka za upimaji  na matibabu dhidi ya homa ya ini ili kufikia malengo ya afya yaliyokubaliwa duniani.

Madhara na tiba dhidi ya ugonjwa wa homa ya ini aina ya Hepatitis B

Homa ya Hepatitis B hutokana na kirusi kinachoambukizwa kupitia kwenye damu na majimaji mengine ya mwili, na ambacho huvamia ini na kusababisha vifo vya watu wapatao 650,000 kila mwaka, wengi wao wakiwa katika nchi za kipato cha chini na kipato cha wastani.