Harry Smith

9 Novemba 2018

Jaridani hii leo Siraj Kalyango anaanzia huko Yemen ambako mashirika ya Umoja wa Mataifa bado yanapaza sauti ya kwamba machafuko  yanayoendelea huko Hudaydah yanakwamisha harakati za usambazaji wa misaada. Anabisha hodi pia ukanda wa Gaza huko Mashariki ya Kati kunakoelezwa kuwa angalau usaidizi uliopatikana utawezesha wanafunzi kusoma muhula mzima wa masomo hadi mwaka 2019. UN News imezungumza na Matthias Schmale ambaye ni mkuu wa operesheni za UNRWA mjini Gaza.

Sauti
12'