Hapa na pale

Hali ya maisha kwa wakimbizi waSyria walioko Lebanon ni ngumu-UNHCR

Utafiti wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa Mataifa yakiratibiwa na lile la kuhudumia wakimbizi UNHCR kanda ya Mashariki ya Kati na Afri

Sauti -

Guterres azungumza na Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki

Guterres azungumza na Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki

Takribani wiki moja baada ya shambulio la kigaidi lililolenga washerehekeaji wa mwaka mpya, katika klabu moja ya usiku nchini Uturuki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Sauti -

WFP yawawekea wakimbizi wa Syria fedha kwenye akaunti kwa ajili ya chakula .

WFP yawawekea wakimbizi wa Syria fedha kwenye akaunti kwa ajili ya chakula .

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP, leo limeingiza dola milioni 9.8 kwenye akaunti za kwa wakimbizi wa Syria nch

Sauti -

Watu takriban milioni 1.2 huko Cameroon wanahitaji msaada wa dharura: OCHA

Watu takriban milioni 1.2 huko Cameroon wanahitaji msaada wa dharura: OCHA

Umoja wa Mataifa, Serikali ya Cameroon na mashirika yasiyo ya kiserikali wamezindua ombi la dola milioni 310 ili kutekeleza mpango wa usaidizi kwa watu takriban milioni 1.2 kwenye mikoa ya kaskazini na mashariki mwa nchi hiyo wakati huu ambapo inaendelea kukabiliana na mgogoro wa usalama ulioathi

Sauti -

Ecuador yakosolewa kwa kukandamiza haki

Ecuador yakosolewa kwa kukandamiza haki

Wataalam maalum wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu wameikosoa serikali ya Ecuador kwa jinsi inakandamiza haki za kiraia kufuatia kitendo chake cha kuamuru kufungwa kwa shirika la kiraia linalotetea haki za watu wa asili na mazingira.

Sauti -