Hapa na pale

FAO yasihi nchi zaidi zijiunge na mkataba wa kupinga uvuvi haramu

FAO yasihi nchi zaidi zijiunge na mkataba wa kupinga uvuvi haramu

Nchi zote duniani zimetakiwa kujiunga na mkataba wa makubaliano ya bandari ya nchi kwa ajili ya kuunga mkono mkataba wa aina yake unaolenga kukabiliana na uvuvi haramu kama mbinu ya kutokomeza uhalifu huo unaoigharimu dunia mabilioni ya dola na kuharibu lishe na mazingira.

Sauti -

UNHCR yahitaji msaada wa dharura wa zaidi ya milioni 83 kusaidia Warohingya

UNHCR yahitaji msaada wa dharura wa zaidi ya milioni 83 kusaidia Warohingya

Shirika la  Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limetangaza ombi la msaada wa dharura wa dola milioni 83.7  kwa  ajili ya ku

Sauti -

Unyanyapaa kwa wenye VVU bado kikwazo cha kupata huduma : UNAIDS

Unyanyapaa kwa wenye VVU bado kikwazo cha kupata huduma : UNAIDS

‘‘Pale watu wanoishi na HIV, au walio katika hali hatarishi ya kupata HIV, wanaponyanyapaliwa katika vituo vya afya, wanadidimia.

Sauti -

Ustawi wa wasomali unazidi kudorora- Ripoti

Ustawi wa wasomali unazidi kudorora- Ripoti

Benki ya Dunia hii leo imezindua ripoti ya kina kuhusu hali ya ustawi ya wananchi wa Somalia ikionyesha kuwa hali ya umaskini inakithiri kadri muda unavyosonga.

Sauti -

IOM yaomba dola milioni 120 kusaidia wakimbizi wa Rohingya