Hapa na pale

Ukuaji wa kiuchumi duniani unatumainisha

Ukuaji wa kiuchumi duniani unatumainisha

Shirika la fedha duniani, IMF limetangaza leo ukuaji thabiti wa uchumi duniani lakini limesema doa katika ukuaji na wasiwasi kuhusu madeni inamaanisha kwamba watunga sera hawapaswi kubweteka.

Sauti -

IOM yasaidia kuwapa makazi waathirika wa kimbunga Dominica

IOM yasaidia kuwapa makazi waathirika wa kimbunga Dominica

Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM linasaidia waathirika wa kimbunga Maria kilichopiga visiwa vya Jamhuri ya Dominica kupata makazi. IOM imesema wiki tatu tangu kimbunga Maria, kukumba visiwa vya Carribea wakaazi wanamahitaji ya muhimu ya maji, umeme, na mahitaji mengine.

Sauti -

IOM yatoa msaada wa dharura kwa wahamiaji Sabratah Lybia

IOM yatoa msaada wa dharura kwa wahamiaji Sabratah Lybia

Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM, limetoa  msaada wa dharura huko Sabratah Libya, kilometa 80 magharibi mwa mji mkuuTripoli kwa wakimbizi 4000  wanoajaribu safari za hatari za kwenda Ulaya kutipitia Bahari ya Mediterania

Sauti -

ICRC yapunguza shughuli zake Afghanistan

ICRC yapunguza shughuli zake Afghanistan

Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu ICRC, imeamua kupunguza shughuli zake nchini Afghanistan  baada ya mfululizo wa mashambulizi  dhidi ya wafanyakazi wake  kaskazini kwa nchi hiyo. 

Sauti -

Sayansi ya nyuklia ina dhima muhimu katika maendeleo- Amano

Sayansi ya nyuklia ina dhima muhimu katika maendeleo- Amano

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la atomiki, IAEA Yukiya Amano amesisitiza dhima ya shirika lake katika kuimarisha usalama wa nyuklia duniani kwa maendeleo.

Sauti -