Hapa na pale

Somalia yapokea vifaa vya tiba ya dharura baada ya shambulio la Jumamiosi: WHO

Somalia yapokea vifaa vya tiba ya dharura baada ya shambulio la Jumamiosi: WHO

Shirika la afya ulimwenguni WHO limewasilisha vifaa vya tiba na huduma ya dharura ikiwemo damu ya kuokoa maisha baada ya shambulio la bomu Ju

Sauti -

Shule ya msingi Zimbabwe yashinda tuzo ya elimu kwa kilimo endelevu

Shule ya msingi Zimbabwe yashinda tuzo ya elimu kwa kilimo endelevu

Nchini Zimbabwe shule moja ya msingi imeshinda tuzo ya elimu kwa maendeleo endelevu kutokana na mfumo wake wa kilimo kinachohifadhi mazingira na wakati huo huo kujipatia kipato.

Sauti -

Wakimbizi na wahamiaji waendelea kushikiliwa mateka Libya

Wakimbizi na wahamiaji waendelea kushikiliwa mateka Libya

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, linaendelea na jitihada za kusadia mahitaji ya dharura kwa  wakimbizi zaidi y

Sauti -

WHO yasaidia utoaji wa chanjo dhidi ya homa ya manjano Nigeria

WHO yasaidia utoaji wa chanjo dhidi ya homa ya manjano Nigeria

Kampeni ya siku 10 ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa homa ya manjano inaendelea kwenye majimbo ya Kwara na Kogi nchini Nigeria.

Serikali ya Nigeria ilizindua rasmi kampeni hiyo siku ya Ijumaa ikilenga watu zaidi ya Laki Nane na Nusu.

Sauti -

ILO yataka makampuni ya kati na madogo kupewa mikopo

ILO yataka makampuni ya kati na madogo kupewa mikopo

Makampuni yanayotumia mikopo ya benki kama sehemu kubwa ya mitaji yao ya kazi huwa na mishahara ya juu na tija, na hupunguza gharama, lakini makampuni madogo na ya kati (SMEs) mara nyingi hayawawezi kupata au kumudu ufadhili huo, kwa mujibu wa shirika la kazi duniani 

Sauti -