Hapa na pale

AMISOM yaendesha mafunzo kukabiliana na utumikishwaji watoto vitani Somalia

AMISOM yaendesha mafunzo kukabiliana na utumikishwaji watoto vitani Somalia

Ujumbe wa Muungano wa Afrika nchini Somalia, AMISOM umefanya mafunzo kwa ajili ya kuzuia uandikishwaji wa watoto jeshini nchini Somalia

Sauti -

FAO yaanzisha kampeni ya chanjo kwa mifugo huko Mosul

FAO yaanzisha kampeni ya chanjo kwa mifugo huko Mosul

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa ,

Sauti -

Hispania kushirikiana na UM katika kampeni ya usafi wa bahari

Hispania kushirikiana na UM katika kampeni ya usafi wa bahari

Serikali ya Hispania imetangaza rasmi leo kuunga mkono Umoja wa Mataifa  katika kampeni ya usafi wa bahari katika hafla ya  mashindano ya bahari yajulinkanao kama Volvo ocean Race, yaliofanyika  Alicante.

Sauti -

Machafuko yasiokwisha Yemen yatishia elimu kwa watoto million 4.5

Machafuko yasiokwisha Yemen yatishia elimu kwa watoto million 4.5

Zaidi ya miaka miwili na nusu ya machafuko nchini Yemen kwa mara nyingine yameiweka elimu ya watoto milioni 4.5 njia panda, na hivyo kuongeza orodha ya madhila yanayowakabili watoto.

Sauti -

UNFPA yatoa mafunzo kuhusu ukatili wa kijinsia kwa wathirika wa vimbunga

UNFPA yatoa mafunzo kuhusu ukatili wa kijinsia kwa wathirika wa vimbunga

Mjumbe maluum wa maswala ya ukatili wa kijinsia (GBV) wa  shirika la Umoja wa Mataifa la idadi wa watu ulimwenguni UNFPA, yupo ziarani katika visiwa vya

Sauti -