Hapa na pale

Mkuu wa WFP yuko ziarani DRC kutathimini hali ya chakula

Mkuu wa WFP yuko ziarani DRC kutathimini hali ya chakula

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa la mpango wa chakula duniani (WFP) bwana David Beasley, leo amewasili nchini Jamhur

Sauti -

Ethiopia yaanza kusajili wakimbizi nchini humo

Ethiopia yaanza kusajili wakimbizi nchini humo

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limekaribisha hatua ya Ethiopia ya kuanza kusajili wakimbizi ambapo wanaweza k

Sauti -

Msiwape mgongo waeritrea wanaokimbia ukiukwaji wa haki za binadamu- Bi Keetharuth

Msiwape mgongo waeritrea wanaokimbia ukiukwaji wa haki za binadamu- Bi Keetharuth

Raia wa Eritrea wanateseka kutokana na ukiukwakaji wa haki za bindamu na maelfu wanaendelea kutembea kutwa kucha wakisaka hifadhi nchi jirani.

Sauti -

Imbonerakure hawana uhusiano moja kwa moja na serikali Burundi- Tume

Imbonerakure hawana uhusiano moja kwa moja na serikali Burundi- Tume

Tume ya uchunguzi kuhusu Burundi leo imesema uchunguzi wao umebaini kuwa vijana wa Imbonerakure ambao wanadaiwa kufanya vitendo vya ukatili dhidi ya raia nchini humo hawafanya kazi moja kwa moja na serikali.

Sauti -

WFP yatoa wito kufikia maeneo yaliyozingirwa kunakoshuhudiwa njaa Syria

WFP yatoa wito kufikia maeneo yaliyozingirwa kunakoshuhudiwa njaa Syria

Uwasilishaji wa misaada ya kibinadamu katika maeneo ya Mashariki mwa Ghouta katika vijiji vya Damascus Syria, umepungua mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana, na hivyo kuwaacha makumi ya maelfu ya watu bila msaada.

Sauti -