Hapa na pale

Dawa za kuua wadudu mashambani zahatarisha maisha ya barubaru

Dawa za kuua wadudu mashambani zahatarisha maisha ya barubaru

Katika juhudi za kuchangia kulinda sayari dunia dhidi ya uchafuzi, wataalam na wasimamizi wameungana na wanachama wa mkataba wa Rotterdam na Stockholm wa kamati ya kutathmini kemikali mashambani huko Roma, Italia kutathmini baadhi ya kemikali zitakazojumuishwa katika mikataba miwili inayolenga ku

Sauti -

Maji na usafi ni changamoto kwa wakimbizi wa Rohingya: IOM

Maji na usafi ni changamoto kwa wakimbizi wa Rohingya: IOM

Upatikanaji wa maji safi na mazingira ya usafi ndio changamoto kubwa inayowakabili wakimbizi wa Rohingya waliongia Bangladesh kutokea Myanmar limesema leo shirika la kimataifa la uhamiaji IOM.

Sauti -

Maelfu ya raia wa Cameroon wakimbilia nchini Nigeria

Maelfu ya raia wa Cameroon wakimbilia nchini Nigeria

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi , UNHCR, pamoja na mamlaka ya  Kusini Mashariki mwa Nigeria, wamepokea maelfu  ya wa

Sauti -

IAEA yakutana na mawaziri kujadili mustakabali wa matumizi ya nyuklia

IAEA yakutana na mawaziri kujadili mustakabali wa matumizi ya nyuklia

Shirika la kimataifa la nguvu za atomiki IAEA, limefungua  rasmi hii leo huko Abu Dhabi, Falme za kiarabu, mkutano wa kimataifa wa karne ya 21 wa nguvu za nyuklia unaojumuisha mashirika matano ya kimataifa,  mawaziri kutoka nchi 67  duniani na wajumbe kutoka asasi za kiraia wapatao 700, ili kujad

Sauti -

Wadau kutoka nchi 144 wakutana Rwanda kujadili mustakabali wa rasilimali za mimea

Wadau kutoka nchi 144 wakutana Rwanda kujadili mustakabali wa rasilimali za mimea

Kikao cha 70 cha mkataba kuhusu rasilimali za mimea kwa ajili ya chakula na kilimo kimeanza leo huko Kigali nchini Rwanda kwa lengo la kufikia mwafaka wa kuimarisha ushirikiano illi kuhakikisha vizazi vijavyo vitanufaika  na lishe ya chakula na kilimo itokanayo na mimea.

Sauti -