Hapa na pale

Kikosi cha Rwanda cha kikanda chawasili Sudan Kusini

Kundi la kwanza la wanajeshi wa Rwanda ambao ni sehemu ya kikosi cha ulinzi cha kikanda limewasili mjini Juba Sudan Kusini.

Sauti -

UNESCO yalaani mauaji ya waandishi wawili wa Iraq

UNESCO yalaani mauaji ya waandishi wawili wa Iraq

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni, UNESCO, Irina Bokova, leo amelaani vikali mauaji

Sauti -

Mfuko wa UM wasaidia tiba ya majeruhi wa shambulio la msikitini Afghanistan

Mfuko wa UM wasaidia tiba ya majeruhi wa shambulio la msikitini Afghanistan

Mfumo wa Umoja wa Mataifa wa msaada wa masuala ya kibinadamu umetenga dola 35,000 kwa ajili ya hospitali nchini Afghanistan inayotibu waathirika wa shambulio la kigaidi la msikitini umesema leo Umoja wa Mataifa.

Sauti -