Hapa na pale

Nigeria yasaidia watu wake kupitia WFP

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, WFP, limekaribisha msaada wa tani 5000 za mchele kutoka kwa serikali ya

Sauti -

WFP yakaribisha mchango wa dola milioni 1 kwa ajili ya wakimbizi wa Sahrawi

WFP yakaribisha mchango wa dola milioni 1 kwa ajili ya wakimbizi wa Sahrawi

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limekaribisha mchango wa dola milioni moja kutoka Marekani kwa ajili ya kusaidia wakimbi

Sauti -

ICRC yaalani mauaji ya watoa huduma wa msalaba mwekundu CAR

ICRC yaalani mauaji ya watoa huduma wa msalaba mwekundu CAR

Shirika la Kimataifa la Hilali Nyekundu na Msalaba Mwekundu, ICRC, limeelezea kusikitishwa na vifo vya kikatili vya wafanyakazi wa kujitolea wa msalaba mwekundu nchini Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR wiki hii.

Sauti -

Wanasanyansi DRC wazuia mlipuko wa mafua ya avian kwa kutumia nyuklia

Wanasanyansi DRC wazuia mlipuko wa mafua ya avian kwa kutumia nyuklia

Wanasayansi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wamebaini mlipuko mpya wa mafua ya ndege aina ya avian kwa kutumia teknolojia ya nyuklia .

Sauti -

Mlipuko wa kipindupindu Sudan Kusini kuwa mbaya zaidi:IOM

Mlipuko wa kipindupindu Sudan Kusini kuwa mbaya zaidi:IOM

Mlipuko wa kipindupindu Sudan Kusini unatarajiwa kuwa mbya zaidi wakati msimu wa mvua ukiendelea limeonya leo shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM. Onyo hilo limekuja wakati kuna mgogoro mkubwa wa kibinadamu uliosababishwa na miaka ya vita na kutawanywa kuliko athari mamilioni ya watu.

Sauti -

Kikosi cha Rwanda cha kikanda chawasili Sudan Kusini