Hapa na pale

Wakimbizi wa Nigeria wasilazimishwe kurejea makwao- UNHCR

Wakimbizi wa Nigeria wasilazimishwe kurejea makwao- UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeonya juu ya hatua yoyote ya kuwalazimisha wakimbizi wa Nigeria walioko nc

Sauti -

Ukanda wa tropiki kujadili changamoto na fursa

Ukanda wa tropiki kujadili changamoto na fursa

Kwa mara ya kwanza kabisa, Siku ya kimataifa ya nchi zilizo kwenye ukanda wa tropiki inaadhimishwa leo, hizi ni nchi zilizo kati ya tropiki ya cancer na ile ya Capricorn.

Sauti -

Uchaguzi wa sera muhimu kuboresha ajira ya wahamiaji-ILO

Uchaguzi wa sera muhimu kuboresha ajira ya wahamiaji-ILO

Jumuiya ya kimataifa inapaswa kuimarisha utawala wa masuala ya uhamiaji na kupata njia mpya za kuboresha maisha na hali ya kazi ya wafanyakazi wahamiaji, amesema mkurugenzi mkuu wa shirika la kazi duniani

Sauti -

Usawa wa kijinsia wakumbwa na vikwazo- Wataalamu

Usawa wa kijinsia wakumbwa na vikwazo- Wataalamu

Harakati za kusongesha haki za wanawake zinakabiliwa na vikwazo vikubwa maeneo mengi duniani, wamesema wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa hii leo.

Sauti -

Biashara ndogo ndogo ndio ziimarishwe kukwamua uchumi - UNCTAD

Biashara ndogo ndogo ndio ziimarishwe kukwamua uchumi - UNCTAD

Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD imesema maendeleo ya kidijitali yana fursa kubwa katika kuinua biashara ndogo na za kati dun

Sauti -