Hapa na pale

Ufadhili wa Marekani wasaidia kupambana na utapiamlo Msumbiji

Mchango uliotolewa na serikali ya Marekani utaliwezesha shirika la mpango wa chakula duniani WFP kuwasaidia wanawake wajawazito, k

Sauti -

Mkutano wa kunusuru Yemen juma lijalo-UM

Mkutano wa kunusuru Yemen juma lijalo-UM

Kiasi cha dola bilioni 2.1 kinahitajika ili kunusuru maisha ya wakazi wa Yemen, ambako kuna janga kubwa zaidi la kibinadamu kutokana na machafuko, na hivyo Umoja wa Mataifa umeandaa mkutano wa changizo ili kuzipata fedha hizo.

Sauti -

Polisi mwanamke apigania haki za wanawake Somalia

Polisi mwanamke apigania haki za wanawake Somalia

Mwanamke mmoja ambaye aliishi ukimbizini nchini Kenya, sasa ameamua kurejea nchini mwake Somalia, ambapo licha ya kazi ngumu ya kurejesha amani baada ya mapigano ya miongo miwili sasa, amejitokeza mbele katika kuchangia ujenzi wa sheria nchini humo na kupigania haki za wanawake.

Sauti -

Pande kinzani Sudan Kusini zatakiwa kuweka maslahi ya raia mbele

Pande kinzani Sudan Kusini zatakiwa kuweka maslahi ya raia mbele

Pande kinzani katika mzozo wa Sudan Kusini zimetakiwa na maafisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa mataifa nchini humo, kuweka maslahi ya raia mbele kwa kujizuia katika wakati huu wa machafuko na kukumbuka wajibu wao katika kulinda raia kwenye vita hivyo.

Sauti -

Kongamo la vijana kuchagiza uhifadhi wa utamaduni laanza:UNESCO

Kongamo la vijana kuchagiza uhifadhi wa utamaduni laanza:UNESCO

Vijana takribani 80 kutoka mataifa ya ukanda wa hariri wanashiriki kungamano la kimataifa nchini Uchina wiki hii ambalo linachagiza ubunifu na uhifadhi wa utamaduni.

Sauti -

Rais Somalia aapa kuwaondoa Al-Shabaab Mogadishu