Hapa na pale

Janga laibuka polepole huko Idlib, Syria- Pinhero

Mkuu wa kamisheni huru ya uchunguzi kuhusu Syria, Paulo Pinheiro, ameonya leo kuhusu janga linaloibuka pole kule Idlib, akisema kamisheni hiyo ina wasiwasi kuwa maisha ya watu wanaohamishiwa huko yamo hatarini.

Sauti -

UM waeleza wasiwasi kuhusu mapigano Libya

UM waeleza wasiwasi kuhusu mapigano Libya

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL), umesema unafuatilia kwa masikitiko makubwa hali tete ndani na karibu na mji wa Tamanhint, ambako mapigano bado yanaendelea kuripotiwa.

Sauti -

WHO yasema chanjo ina umuhimu mkubwa zaidi kuliko inavyotambuliwa

WHO yasema chanjo ina umuhimu mkubwa zaidi kuliko inavyotambuliwa

Wakati wiki ya chanjo duniani ikikaribia kung’oa nanga kuanzia Aprili 24 hadi 30, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa ingawa utoaji chanjo duniani uli

Sauti -

Tatueni mtafaruku wa nishati Gaza-Mladenov

Tatueni mtafaruku wa nishati Gaza-Mladenov

Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa mataifa ametoa wito wa kutatua mtafaruku wa umeme Gaza ambako mtambo pekee wa nishati hiyo umeishiwa mafuta.

Sauti -

UM watoa wito wa kuachiliwa Wayezidi wanaoshikiliwa na Daesh

UM watoa wito wa kuachiliwa Wayezidi wanaoshikiliwa na Daesh

Katika kuadhimisha mwaka mpya kwa jamii ya Wayezidi nchini Iraq , mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa nchini humo Ján Kubiš, amewatakia kila la heri na kutoa wito wa kuachiliwa huru watu wa jamii ya Yezidi wanaoshikiliwa na kundi la kigaidi la Daesh.

Sauti -

Ufadhili wa Marekani wasaidia kupambana na utapiamlo Msumbiji