Hapa na pale

Lishe duni na utipwatipwa vyachangia hasara ya mabilioni Amerika ya Kusini - ripoti

Athari za lishe duni na uzito uliokithiri au utipwatipwa, zilichangia hasara ya mabilioni ya dola kwa uchumi wa nchi za Amerika ya Kusini, kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotoewa leo na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (

Sauti -

Huku Somalia ikikumbana na ukame, watoto wakabiliwa na tishio la surua

Huku Somalia ikikumbana na ukame, watoto wakabiliwa na tishio la surua

Takriban watoto 30,000 nchini Somalia wanapewa chanjo dhidi ya surua wiki hii, katika kampeni ya dharura huko Baidoa, mji wa Somalia ulioathiriwa zaidi na ukame. Wengi wa watoto hao ni wale waliolazimika kuhama makwao kutokana na ukame.

Sauti -

Ukwepaji sheria bado ni changamoto Sudan Kusini-UNMISS

Ukwepaji sheria bado ni changamoto Sudan Kusini-UNMISS

[caption id="attachment_316197" align="aligncenter" width="616"]sudanwau

Sauti -

Gari za wagonjwa zahitajika kuokoa majeruhi magharibi mwa Mosul-WHO

Gari za wagonjwa zahitajika kuokoa majeruhi magharibi mwa Mosul-WHO

Vita vinavyoendelea baina ya vikosi vya serikali ya Iraq na magaidi wa ISIL vimelifanya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutuma magari zaidi ya kubeba wagonjwa i

Sauti -

Jinsia na uchumi vyamulikwa kwenye jopo Washington DC

Jinsia na uchumi vyamulikwa kwenye jopo Washington DC

Ingawa faida za kuwawezesha wanawake kiuchumi na sera zinazochangia kuendeleza uwezeshaji huu zinajulikana vyema, bado kuna kazi nyingi ya kufanya ili kuweza kutimiza lengo la kuleta mabadiliko muhimu na ya muda mrefu.

Sauti -

Janga laibuka polepole huko Idlib, Syria- Pinhero