Hapa na pale

Kusini Mashariki mwa Asia waahidi kupambana na magonjwa yaliyosahaulika

[caption id="attachment_316431" align="aligncenter" width="615"]hapanapaleasia

Sauti -

Sekta rasmi yainua wanawake wajenzi Bolivia- ILO

Sekta rasmi yainua wanawake wajenzi Bolivia- ILO

Shirika la kazi duniani ILO limeripoti katika wavuti wake kuwa kundi la wanawake huru wajenzi 250 nchini Bolivia wameimarisha mazingira ya

Sauti -

Haki za maji na mazingira safi zachunguzwa Mexico

Haki za maji na mazingira safi zachunguzwa Mexico

Mtaalamu Huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maji na Usafi wa Mazingira, Léo Hela atafanya ziara nchini Mexico Mei 2 hadi10 kuchunguza upatikanaji wa maji na mazingira safi kwa vikundi vinavyoishi katika mazingira magumu.

Sauti -

Suluhu pekee ya machafuko Sudan kusini ni muafaka wa kisiasa

Suluhu pekee ya machafuko Sudan kusini ni muafaka wa kisiasa

Baraza la Uslama la Umoja wa Mataifa Jumanne limekuwa na kikao kupata taarifa kuhusu mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan kusini

Sauti -

Wabunge wanawake Somalia wanolewa

Wabunge wanawake Somalia wanolewa

Wabunge wanawake nchini Somalia wamekutana kwa siku mbili mjini Mogadishu, na kuhitimisha mkutano huo leo kwa wito kwa wabunge hao kuungana katika kutia shime ajenda yao katika nyanja tofauti nchini humo.

Sauti -

Lishe duni na utipwatipwa vyachangia hasara ya mabilioni Amerika ya Kusini - ripoti