Hapa na pale

IOM yasaidia wahamiani 421 waliokwama Libya kurejea Afrika

IOM yasaidia wahamiani 421 waliokwama Libya kurejea Afrika

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM , Ijumaa limewasaidia wahamiaji 253 wa Nigeria waliokuwa wamekwama nchini Libya , kurejea nyumbani.

Sauti -

Hali ya El Niño huenda ikajitokeza nusu ya pili ya 2017-WMO

Hali ya El Niño huenda ikajitokeza nusu ya pili ya 2017-WMO

Licha ya kutokuwepo na hali ya hewa ya El Niño hadi sasa mwaka huu , kuna uwezekano mkubwa wa zaidi ya asilimia 50 hali hiyo itajitokeza katika nusu ya pili ya mwaka huu wa 2017.

Sauti -

UM wakaribisha fursa nyingine ya kufikisha misaada Sudan kusini:

UM wakaribisha fursa nyingine ya kufikisha misaada Sudan kusini:

Mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini Marta Ruedas, leo amekaribisha uzamuzi wa serikali ya Sudan kufungua upenyo wa tatu kwa ajili ya misaada ya kibinadamu kuweza kusafirishwa kutoka Sudan kwenda kwenye maeneo yanayokabiliwa na baa la njaa Sudan kusini.

Sauti -

Mafuta ya jenereta za hospitali Gaza haba; UM watoa ufadhili

Mafuta ya jenereta za hospitali Gaza haba; UM watoa ufadhili

Mratibu wa shughuli za kibinadamu na maendeleo katika Umoja wa Mataifa, Robert Piper, ameeleza kusikitishwa na hali inayoendelea kuzorota ya nishati kwenye Ukanda wa Gaza, na kutoa wito kwa jamii ya kimataifa, mamlaka za Israel na Palestina zichukue hatua haraka ili kulinda utoaji huduma muhimu k

Sauti -

Kusini Mashariki mwa Asia waahidi kupambana na magonjwa yaliyosahaulika