Hapa na pale

Utapiamlo huigharimu Pakistan dola bilioni 7.6 kila mwaka: WFP

Utapiamlo huigharimu Pakistan dola bilioni 7.6 kila mwaka: WFP

Madhara ya utapiamlo  ikiwa ni pamoja na gharama za juu za matibabu huigharimu Pakistan dola bilioni 7.6 sawa na asilimia tatu ya pato la taifa kila mwaka, imesema ripoti ya shirikal a mpango wa chakula duniani

Sauti -

UM kutathimini haki za wazee Namibia

UM kutathimini haki za wazee Namibia

Mtaalamu wa haki za binadamu kutoka Umoja wa Mataifa Rosa Kornfeld-Matte anatarajia kufanya ziara ya kwanza ya kikazi nchini Namibia kuanzia Machi pili hadi 13 mwaka huu kwa ajili ya kutathimini hali ya haki za binadamu kwa wazee nchini humo.

Sauti -

MINUSCA yazuia mapambano kati ya vikundi vya waasi Bambari

MINUSCA yazuia mapambano kati ya vikundi vya waasi Bambari

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

Sauti -

Wakimbizi na wahamiaji wanakabiliwa na hatari kubwa wakijaruibu kuingia Ulaya:UNHCR

Wakimbizi na wahamiaji wanakabiliwa na hatari kubwa wakijaruibu kuingia Ulaya:UNHCR

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR inaainisha athari za ongezeko la vikwazo mipakani vilivyoanzish

Sauti -

Hatua zichukuliwe kuwalinda watu wa Rohingya Myanmar :UM

Hatua zichukuliwe kuwalinda watu wa Rohingya Myanmar :UM

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Myanmar ametoa wito wa serikali ya nchi hiyo kuchukua hatua haraka kukomesha madhila kwa jamii ya watu wa Rohingya nchini humo.

Sauti -