Hapa na pale

UNHCR na wadau warejesha miundombinu ya umeme Iraq

UNHCR na wadau warejesha miundombinu ya umeme Iraq

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesaidia kurejeshwa kwa gridi ya umeme na miradi mingine ya usafi wa mazingi

Sauti -

Vifo 250 vyaripotiwa Mediteranea mwezi Januari pekee- IOM

Vifo 250 vyaripotiwa Mediteranea mwezi Januari pekee- IOM

Zaidi ya watu 250 wamefariki dunia kwa mwezi huu wa Januari pekee wakivuka bahari ya Mediteranea kuelekea Ulaya.

Msemaji wa IOM Joel Millman amesema miongoni mwao ni watoto wanne wa familia moja kutoka Côte d'Ivoire waliokuwa wanakwenda Ufaransa kuungana na baba yao.

Sauti -

Shambulio la jengo la Al-Janoub si ishara nzuri

Shambulio la jengo la Al-Janoub si ishara nzuri

Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Ismail Ould Cheikh Ahmed amelaani vikali shambulio katika jengo la kamati ya kuratibu sitisho la chuki huko Dhahran Al-Janoub, Yemen.

Sauti -

Ombi WHO na Iraq la vifaa vya matibabu Mosul laitikiwa

Ombi WHO na Iraq la vifaa vya matibabu Mosul laitikiwa

Ombi la shirika la afya duniani, WHO la usaidizi wa vifaa vya matibabu huko Mosul, nchini Iraq limepata jibu baada ya serikali ya Ufaransa kuwasilisha vifaa h

Sauti -

Mwanasheria maarufu Myanmar auawa, UM wazungumza

Mwanasheria maarufu Myanmar auawa, UM wazungumza

Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Myanmar, Yanghee Lee, amelaani vikali mauaji ya kikatili ya mwanasheria mashuhuri wa kiislamu nchini humo, Ko Ni.

Sauti -