Hapa na pale

Mkutano Tokyo kumulika uwekezaji katika kupambana na HIV, TB na Malaria

Mkutano Tokyo kumulika uwekezaji katika kupambana na HIV, TB na Malaria

Mawaziri wa Afya kutoka nchi kadhaa na viongozi wengine katika sekta ya afya, watakutana jijini Tokyo, Japan kuanzia kesho Disemba 16 hadi 17 ili kutafutia mwarobaini changamoto ya ufadhili kwa programu za kuongeza kasi ya kutokomeza VVU, TB na Malaria, na kujenga mifumo dhabiti ya afya inayoweze

Sauti -

WFP yaanza uzalishaji wa vipande vya tende kwa ajili ya lishe mashuleni Syria

WFP yaanza uzalishaji wa vipande vya tende kwa ajili ya lishe mashuleni Syria

Shirika la Umoja wa mataifa la mpango wa chakula WFP limeanza uzalishaji wa vipande vya tende vilivyoongezewa vitamini na virutubi

Sauti -

O’Brien ahitimisha ziara Syria

O’Brien ahitimisha ziara Syria

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA bwana Sthephen O’Brien amekuwa ziarani nchini Syria tangu Desemba 12 na ziara hiyo inahitimishwa leo desemba 14.

Sauti -

IFAD kutoa fursa ya chakula kwa maelfu Afghanistan

IFAD kutoa fursa ya chakula kwa maelfu Afghanistan

Mfuko wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo ya kilimo IFAD umetia saini mkataba na serikali ya Afghanistan ambao utasaidia kuhakikisha usalama wa chakula na kuinua hali ya uchumi kwa maelfu ya wakazi wa vijijini katika taifa hilo linalokabiliwa na upungufu wa chakula kila mara.

Sauti -

Wataalamu wa UM wataka utekelezaji wa muafaka wa Doha:WTO