Hapa na pale

Misaada ya kibinadamu kufikishwa Taizz Yemen

Misaada ya kibinadamu kufikishwa Taizz Yemen

Mazungumzo ya amani ya Yemen yakiendelea nchini Uswisi, washiriki wameafikiana kuhusu kurejesha mara moja usambazaji wa misaada ya kibinadamu kwenye mji wa Taizz nchini humo.

Sauti -

Ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza Saudia unatia hofu:UM

Ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza Saudia unatia hofu:UM

Mtaalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa mataifa David Kaye leo ameelezea hofu yake kuhusu kuongezeka kwa ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza nchini Saudi Arabia.

Sauti -

Brazil yakumbushwa isibinye haki za binadamu inapojiendeleza kiuchumi

Brazil yakumbushwa isibinye haki za binadamu inapojiendeleza kiuchumi

Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuhusu biashara na haki za binadamu, kimeihimiza Brazil kufanya juhudi zaidi kufanya maendeleo ya kiuchumi kwa njia inayoheshimu haki za binadamu, kufuatia ziara ya siku kumi nchini humo.

Sauti -

Watoto 500 hufa kila siku kwa kukosa maji safi Afrika:UNICEF

Watoto 500 hufa kila siku kwa kukosa maji safi Afrika:UNICEF

Watoto takriban 180,000 wa chini ya umri wa miaka mitano hufa kila mwaka ambao ni sawa na watoto 500 kila siku katika nchi za Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara kutokana na maradhi ya kuhara yanayohusishwa na ukosefu wa maji safi, na hali ya usafi (WASH), limesema shirika la kuhudumia watoto

Sauti -