Hapa na pale

Mashambulizi ya makombora kutoka eneo la UNIFIL yanatia hofu:Ban

Mashambulizi ya makombora kutoka eneo la UNIFIL yanatia hofu:Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon amesema anatiwa wasiwasi na kitendo cha jana cha kuvurumisha makombora ndani ya eneo la mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon UNIFIL, yakitokea eneo la Al-Hinniyah, katikati ya Tyr kuelekea Israel jambo ambalo ni ukiukaji mkubwa wa azimio 1701 la mw

Sauti -

FAO na DfID zaimarisha ushirikiano wao kuokoa sekta ya chakula

FAO na DfID zaimarisha ushirikiano wao kuokoa sekta ya chakula

Shirika la Chakula na Kilimo Duniani,

Sauti -

Idadi ya wakimbizi wa ndani yaongezeka mwaka 2015 : UNHCR

Idadi ya wakimbizi wa ndani yaongezeka mwaka 2015 : UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa ka Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limeonya leo kwenye taarifa yake kwamba mwaka 2015 huenda utavunja rekodi kuhu

Sauti -

Msiwanyanyase watetezi wa haki za binadamu Palestina:UM

Msiwanyanyase watetezi wa haki za binadamu Palestina:UM

Wataalamu huru wa Umoja wa mataifa leo wameelezea hofu yao kufuatia ripoti zinazoendelea kwamba watetezi wa haki za binadamu wamekuwa wakikabiliwa na mashambulizi, unyanyasaji, kukamatwa na kuwekwa kizuizini pamoja na vitisho vya kuuawa hususani kwenye eneo la Hebron kwenye eneo linalokaliwa la m

Sauti -

UNICEF inatathimini ripoti ya ukatili wa kingono dhidi ya watoto CAR:

UNICEF inatathimini ripoti ya ukatili wa kingono dhidi ya watoto CAR:

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limetoa taarifa kufuatia ripoti ya uchunguzi huru kuhusu ukatili wa kingono dhidi ya watoto

Sauti -