Hapa na pale

Mkuu mpya wa UNMEER aanza kazi rasmi

Mkuu mpya wa UNMEER aanza kazi rasmi

Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kushughulikia dharura ya Ebola, UNMEER, Ismail Ould Cheikh Ahmed ameanza majukumu yake jumamosi tarehe 3, januari, baada ya kuchukua nafasi ya mkuu wa zamani, Anthony Banbury.
Sauti -

Ban aridhia ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa uangalizi wa uchaguzi Burundi

Ban aridhia ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa uangalizi wa uchaguzi Burundi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameridhia Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa uangalizi wa uchaguzi nchini Burundi, MENUB kuanza kazi zake rasmi tarehe moja January 2015 kwa mujibu wa mamlaka
Sauti -

Wajumbe wa kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu watoa wito dhidi ya FDLR

Wajumbe wa kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu watoa wito dhidi ya FDLR

Leo ndio siku ya mwisho ya kipindi cha miezi sita iliyotolewa na  taasisi za kikanda ikiwemo mkutano wa kimataifa wa maziwa makuu, ICGLR na  nchi za kusini mwa Afrika, SADC  ya kujisalimisha kamili na bila masharti kwa kundi la waasi la FDLR nchni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC.

Sauti -

Ibn Chambas alaani jaribio la Mapinduzi Gambia

Ibn Chambas alaani jaribio la Mapinduzi Gambia

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Afrika Magharibi na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Afrika Magharibi, UNOWA, Bw Mohammed Ibn Chambas, amelaani jaribio la hivi karib

Sauti -