Hapa na pale

Idadi ya vifo vya wahamiaji mwaka huu yafikia 3, 329: IOM

Idadi ya vifo vya wahamiaji mwaka huu yafikia 3, 329: IOM

Shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM limesema idadi ya wahamiaji na wakimbizi waliokufa maji kutokana na boti zao kuzama bahari ya Mediteranea  imefikia 3.329 mwaka huu pekee.

Sauti -

Ghasia yazuia masomo kwa mamilioni ya watoto nchini Iraq

Ghasia yazuia masomo kwa mamilioni ya watoto nchini Iraq

Takribani watoto Milioni Mbili hawako shuleni nchini Iraq, na wengine zaidi ya Milioni Moja wako hatarini kuacha shule kwa sababu ya mzozo na vurugu nchini humo.

Sauti -

Upinzani Cambodia mashakani: Ofisi ya Haki za Binadamu

Upinzani Cambodia mashakani: Ofisi ya Haki za Binadamu

Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeeleza wasiwasi wake kuhusu Cambodia ambapo imesema hali inazidi kuwa mbaya kwa wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wa haki za binadamu.

Sauti -

Walinda amani 20 waachiliwa huru Sudan Kusini

Walinda amani 20 waachiliwa huru Sudan Kusini

Nchini Sudan Kusini, walinda amani 20 wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo

Sauti -

ILO na makampuni 11 yapigia chepuo haki za watu wenya ulemavu

ILO na makampuni 11 yapigia chepuo haki za watu wenya ulemavu

Shirika la kazi ulimwenguni ILO kwa kushirikiana na makampuni 11 ambayo yamekuwa wadau wa kwanza kusaini mkataba kuhusu ujumuishwaji wa wa

Sauti -