Hapa na pale

Bendera ya Palestina yapeperushwa UM

Bendera ya Palestina yapeperushwa UM

Leo ni siku ya kujivunia kwa wapalestina popote pale walipo duniani na ni siku ya matumaini.

Sauti -

Maisha na elimu ya watu Sahel vinadhulumiwa: Lanzer

Maisha na elimu ya watu Sahel vinadhulumiwa: Lanzer

Mratibu maalum wa misaada ya kibinadamu katika ukanda wa Sahel Toby Lanzer amesema hali ya kibaindamu katiak ukanda huo inazorota kila uchao kufuatia vuguvugu la ugaidi linalotekelezwa na kundi la Boko Haram .

Sauti -

Upatikanaji wa ARV’s kwa wenye VVU kutaepusha vifo Milioni 21:WHO

Upatikanaji wa ARV’s kwa wenye VVU kutaepusha vifo Milioni 21:WHO

Shirika la Afya Duniani, WHO limesema mtu yeyote aliyeambukizwa virusi vya Ukimwi anapaswa kuanza tiba ya kupunguza makali ya ugonjwa huo, yaani Anti-Retrovir

Sauti -

CITES yataka usafiri wa anga ujiunge na mapambano dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori

CITES yataka usafiri wa anga ujiunge na mapambano dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori

Katibu Mkuu wa Mkataba wa Biashara ya Kimataifa kuhusu viumbe walio katika hatari ya kuangamia (CITES) John E.

Sauti -

Ebola tumeshinda tunashukuru marafiki zetu: Rais Koroma

Ebola tumeshinda tunashukuru marafiki zetu: Rais Koroma

Rais Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone amehutubia mjadala wa wazi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa akigusia masuala ya mabadiliko ya tabianchi, amani, usalama, usawa wa kijinsia na ugonjwa wa Ebola ambao ulitikisa nchi yake.

Sauti -