Hapa na pale

Mafuriko yameua watu 39 na kuathiri zaidi ya 200,000 Myanmar- OCHA

Mafuriko yameua watu 39 na kuathiri zaidi ya 200,000 Myanmar- OCHA

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu, OCHA, imesema kuwa serikali ya Myanmar imeripoti kuuawa kwa watu 39, huku wengine 200,000 wakiathiriwa na mvua nzito na mafuriko nchini humo.

Sauti -

Vikwazo vya usafiri vyazuia misaada Sudan Kusini: OCHA

Vikwazo vya usafiri vyazuia misaada Sudan Kusini: OCHA

Marufuku iliyowekwa na mamlaka  dhidi ya mashua kutoka Malakal mtoni Nile, pamoja na uhaba wa waongozaji wa ndege kwa ajili ya kutumia eneo la kuruka na kutua ndege vinakwamisha operesheni ya misaada jimboni Upper Nile imesema ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA.

Sauti -

Katibu Mkuu alaani mauaji ya mlinda amani wa MINUSCA

Katibu Mkuu alaani mauaji ya mlinda amani wa MINUSCA

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani kuuawa kwa mlinda amani wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuimarisha hali nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,

Sauti -

UNICEF yaonya madhila wanaokabiliana watoto Myanmar

UNICEF yaonya madhila wanaokabiliana watoto Myanmar

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limeonya kuwa watoto nchini Myanmar wanakumbwa na janga mara mbili kutokana na madhila ya m

Sauti -