Hapa na pale

Israel itimize wajibu kuimarisha uchumi na biashara maeneo yaliyokaliwa Palestina: UNCTAD

Palestina huenda ikaimarisha sekta yake ya biashara iwapo Israeli itatimiza wajibu wake kisheria chini ya makubaliano ya Shirika la biashara duniani WTO kuhusu kuwezesha biashara katika maeneo yaliyokaliwa ya Palestina.

Sauti -

UNHCR na wadau kusaidia Libya kuokoa maisha baharini

UNHCR na wadau kusaidia Libya kuokoa maisha baharini

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na maswala ya wakimbizi, UNHCR limeshiriki katika kuweka jukwaa la kusaidia Libya katika k

Sauti -

Ghasia na uhaba wa pesa yakwamisha misaada ya kibinadamu Mali

Ghasia na uhaba wa pesa yakwamisha misaada ya kibinadamu Mali

Mratibu wa Maswala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa kwa ukanda wa Sahel, Toby Lanzer, ameonya kwamba uhaba wa chakula utazidi kuongezeka nchini Mali iwapo pande za mzozo watashindwa kuhakikisha utulivu nchini humo.

Sauti -

Saudia Arabia yatoa dola milioni 35 kwa Wapalestina

Saudia Arabia yatoa dola milioni 35 kwa Wapalestina

Ufalme wa Saudia umetangaza kutoa msaada wa dola milioni 35 kwa ajili ya kusaidia wakimbizi wa Palestina.

Sauti -

UNAMI yalaani vikali mashambulizi ya bomu Baghdad

UNAMI yalaani vikali mashambulizi ya bomu Baghdad

Naibu Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Kaimu Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq, UNAMI, Gyorgy Busztin, amelaani vikali mashambulizi  ya bomu ya gari ambayo yalifanyika katika soko la Jameela katika mji wa Sadr, Baghdad Mashariki na kuwaua angalau watu 45 huku wengine wengi wakijeruhiwa.

Sauti -