Hapa na pale

Msaada zaidi watakiwa katika maeneo yaliyofunguliwa Somalia

Msaada zaidi watakiwa katika maeneo yaliyofunguliwa Somalia

Baada ya ziara za kufanya tathmini katika maeneo ya Gedo na Bay nchini Somalia, Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu nchini humo, Peter de Clercq amesema, msaada zaidi unahitajika kwa watu waliokuwa wakiishi katika maeneo yasiofikika kutokana na kuzorota kwa usalama nchini humo.

Sauti -

Mkuu wa UNESCO alaani mauaji ya mwandishi habari Sudan Kusini

Mkuu wa UNESCO alaani mauaji ya mwandishi habari Sudan Kusini

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Matifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, Irina Bokova, ametoa wito uchunguzi ufan

Sauti -

UNRWA yatiwa hofu na kuzuka homa ya matumbo kwenye kambi ya Yarmouk, Syria

UNRWA yatiwa hofu na kuzuka homa ya matumbo kwenye kambi ya Yarmouk, Syria

Idadi ya watu walioambukizwa homa ya matumbo katika kambi ya Yarmouk mjini Damascus, imeongezeka karibu maradufu, kwa mujibu wa msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwasaidia Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, Chris Gunness.

Sauti -

Jumuiya ya kimataifa ihakikishe wanafunzi wa UNRWA wanarejea shuleni: UNESCO

Jumuiya ya kimataifa ihakikishe wanafunzi wa UNRWA wanarejea shuleni: UNESCO

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO Irina Bokova ameelezea kusikitishwa kwake

Sauti -

Israel itimize wajibu kuimarisha uchumi na biashara maeneo yaliyokaliwa Palestina: UNCTAD