Hapa na pale

Ban amteua Koen Davidse wa Uholanzi kuwa Mwakilishi wake maalum Mali

Ban amteua Koen Davidse wa Uholanzi kuwa Mwakilishi wake maalum Mali

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ametangaza leo kuteuliwa kwa Koen Davidse wa Uholanzi kuwa Naibu Mwakilishi wake maalum katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Mali, MINUSMA.

Sauti -

Mkutano wafanyika kuunga mkono jukwaa la vijana ukanda wa Maziwa Makuu

Mkutano wafanyika kuunga mkono jukwaa la vijana ukanda wa Maziwa Makuu

Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukanda wa Maziwa Makuu, Saïd Djinnit, leo ameitisha mkutano wa wadau wa kikanda kuunga mkono jukwaa la vijana la Kongamano la Kimataifa kuhusu Ukanda wa Maziwa Makluu, ICGLR.

Sauti -

Ban akaribisha makubaliano kuhusu mazungumzo kwenye rasi ya Korea

Ban akaribisha makubaliano kuhusu mazungumzo kwenye rasi ya Korea

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kwa moyo mkunjufu makubaliano yaliyofikiwa leo baina ya Jamhuri ya Korea na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea, DPRK.

Sauti -

Raia wasibughudhiwe wakidai haki kwa amani: UM

Raia wasibughudhiwe wakidai haki kwa amani: UM

Mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Lebanon Bi Sigrid Kaag, amezingatia maandamano ya hivi karibuni ya raia nchini humo ya kudai huduma msingi na utendaji kazi makini wa serikali.

Sauti -

UNRWA yashukuru nchi zilizosaidia upungufu wa fedha

UNRWA yashukuru nchi zilizosaidia upungufu wa fedha

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina UNRWA Pierre Krähenbühl ameelzea shukrani zake za dhati kutokana na usaidizi wa mfano, na uelewa kutoka nchi wenyeji,  wakati shirika hilo likihaha kufunga nakisi ya bajeti yake kufuatia upungufu katika miezi ya hi

Sauti -