Hapa na pale

UNHCR yakaribisha makubaliano Sudan Kusini, idadi ya wakimbizi ikiongezeka

UNHCR yakaribisha makubaliano Sudan Kusini, idadi ya wakimbizi ikiongezeka

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limekaribisha kutiwa saini kwa makubaliano ya amani huko Sudan Kusini wakati

Sauti -

UNDP yazindua shindano kuhusu mabadiliko ya tabianchi

UNDP yazindua shindano kuhusu mabadiliko ya tabianchi

Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP, limezindua leo shindano la uandishi wa habari kuhusu mabadiliko ya tabianchi, ambalo litatoa fursa kwa washindi wawili kufadhiliwa kwenda kushiriki na kuandika kuhusu kongamano la kimataifa kuhusu tabianchi, COP21 mjini Paris, mwezi Disemb

Sauti -

Ghasia katika mji wa Bambari CAR wawatimua maelfu kutoka makwao

Ghasia katika mji wa Bambari CAR wawatimua maelfu kutoka makwao

Ghasia za siku chache zilizopita baina ya wanamgambo wanaokinzana zimewalazimu maelfu ya watu kuhama makwao katika mji wa Bambari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, limesema Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi,

Sauti -

Menejimenti shirikishi ni siri ya mafanikio kwa kampuni moja Colombia: ILO

Menejimenti shirikishi ni siri ya mafanikio kwa kampuni moja Colombia: ILO

Mfumo wa uboreshaji menejimenti za kampuni ndogo na za kati uonaratibiwa na shirika la kazi duniani, ILO umewezesha kampuni moja nchini Co

Sauti -

Djokovic ateuliwa balozi mwema wa UNICEF #NovakforChildren

Djokovic ateuliwa balozi mwema wa UNICEF #NovakforChildren

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto, UNICEF, leo limetangaza kuteuliwa kwa nyota mchezo wa tennis, Novak Djokovic kuwa

Sauti -