Hapa na pale

Huduma za afya za dharura zinahitajika Yemen: WHO

Huduma za afya za dharura zinahitajika Yemen: WHO

Shirika la afya ulimwenguni WHO na washirika,  wanahaha kunusuru maisha ya mamilioni ya raia wanaoteseka kutokana na vita nchini Yemen na sasa juhudi zaidi zi

Sauti -

FAO na We Effect kuchagiza maendeleo ya wakulima

FAO na We Effect kuchagiza maendeleo ya wakulima

Shirika la chakula na kilimo duniani,

Sauti -

Ban ataka nchi kuungana kupinga utowekaji wa watu

Ban ataka nchi kuungana kupinga utowekaji wa watu

Katibu Mkuu Wa Umoja wa Mataifa ametaka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuungana katika  mkataba wa kimataifa wa kupinga vifungo vya siri, ikiwa ni wito wake wa maadhimisho ya nne ya siku ya kimataifa ya wahanga wanaotelekezwa, kutekwa au kutoweka.

Sauti -

Ukatili wa kingono Mashariki ya Kati ukomeshwe: Bangura

Ukatili wa kingono Mashariki ya Kati ukomeshwe: Bangura

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili wa kingoni katika maeneo ya vita Zeainab Bangura, amelihutubia baraza la usalama kuhusu ziara yake Mashariki ya Kati ambapo

Sauti -

Idadi ya wakibizi na wahamiaji wanaosaka hifadhi Ulaya yazidi kuongezeka

Idadi ya wakibizi na wahamiaji wanaosaka hifadhi Ulaya yazidi kuongezeka

Idadi ya wakimbizi na wahamiaji wanaovuka bahari ya Mediterranean mwaka huu sasa imevuka 300,000 ikiwamo kiasi cha 200,000 wanaowasili Ugiriki na wengine 110,000 nchini Italia, limesema shirika la Umoja wa Matafa la kuhudumai wakimbizi

Sauti -