Hapa na pale

Mjumbe wa UNHCR Angelina Jolie azuru wakimbizi Kachin, Myanmar

Mjumbe wa UNHCR Angelina Jolie azuru wakimbizi Kachin, Myanmar

Mjumbe maalum wa UNHCR, Angelina Jolie Pitt, amesadfiri kwenda mji wa Myitkyina katika jimbo la Kachin nchini Myanmar, ambako zaidi ya

Sauti -

FAO yaona matumaini kuhusu vita dhidi ya uvuvi haramu

FAO yaona matumaini kuhusu vita dhidi ya uvuvi haramu

Idadi ya nchi zinazokubali kupambana na uvuvi haramu inaongezeka, limesema Shirika la Chakula na Kilimo

Sauti -

Ukuaji wa uchumi wapungua barani Amerika Kusini 2015: ripoti ya UM

Ukuaji wa uchumi wapungua barani Amerika Kusini 2015: ripoti ya UM

Ukuaji wa uchumi unatarajiwa kupungua kwenye bara la Amerika Kusini, Amerika ya Kati na Karibia mwaka 2015, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo.

Sauti -

Muda umefika kuondoa vizuizi dhidi ya Iran na Cuba

Muda umefika kuondoa vizuizi dhidi ya Iran na Cuba

Mtalaam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu na vizuizi Idriss Jazairy, amesema muda umefika kuondoa vizuizi dhidi ya Cuba na Iran ili kulinda haki za watu wanaotesekea zaidi nchini humo.

Sauti -

UNESCO na Iraq zazindua mradi wa kutunza eneo la Urithi wa Dunia la Samara

UNESCO na Iraq zazindua mradi wa kutunza eneo la Urithi wa Dunia la Samara

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, na serikali ya Iraq, leo zimetia saini makubaliano ya kutunza na kudhibiti ene

Sauti -