Hapa na pale

Wakimbizi wa ndani waongezeka maradufu Libya: UNHCR

Wakimbizi wa ndani waongezeka maradufu Libya: UNHCR

Idadi ya wakimbiz iwa ndani nchini Libya imeongezeka mara mbili zaidi ikilinganishwa na idaid ya awali mwaka jana mwezi Septemba kutokana na kuongezeka kwa machafuko sehemu mbalimbali mwaka huu.

Sauti -

Mamilioni ya watoto Yemen hatarini kukumbwa na utapiamlo na kuhara

Mamilioni ya watoto Yemen hatarini kukumbwa na utapiamlo na kuhara

Machafuko yanayoendelea nchini  Yemen na athari za kiafya kwa taifa hilo vimesababisha mamilioni ya watoto kuwa katika hatari ya kupatwa na magonjwa ikiwamo  utapiamlo na kuhara limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto

Sauti -

Mapigano makali yazuka Malakal Sudan Kusini

Mapigano makali yazuka Malakal Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini(

Sauti -

ICC yasisitiza Al Bashir akamatwe afungwe

ICC yasisitiza Al Bashir akamatwe afungwe

Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai, ICC Fatou Bensouda amesema kwamba raia wa Darfur nchini Sudan wanaendelea

Sauti -

UNRWA kupunguza wafanyakazi kutokana upungufu wa fedha

UNRWA kupunguza wafanyakazi kutokana upungufu wa fedha

Upungufu wa fedha unaolikumba Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestinan(UNRWA) umesababisha shirika hilo kutangaza leo kuwa asilimia 85 ya wafanyakazi 137 wa kimataifa wanaofanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi watapunguzwa katika mchakato wa kupunguza wafanyakazi utakaokam

Sauti -