Hapa na pale

Ukanda wa Asia-Pacifiki kinara wa ukuaji wa uchumi

Ukanda wa Asia-Pacifiki kinara wa ukuaji wa uchumi

Ukanda wa Asia Pacifiki umekuwa kiongozi katika ukuaji wa uchumi wa dunia, na utazidi kuwa chanzo cha ukuaji katika siku za usoni, amesema Shamsad Akhtar, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa n

Sauti -

Ebola: Benki ya Dunia, FAO yasaidia serikali Guinea kukwamua wananchi

Ebola: Benki ya Dunia, FAO yasaidia serikali Guinea kukwamua wananchi

Hatimaye serikali ya Guinea kwa ushirikiano na Benki ya dunia na shirika la chakula na kilimo duniani,

Sauti -

Uhaba wa mafuta wasitisha mgao wa chakula Yemen: WFP

Uhaba wa mafuta wasitisha mgao wa chakula Yemen: WFP

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limelazimika kusitisha mgao wa chakula kwa wahitaji kwenye baadhi ya maeneo nchini Yemen

Sauti -

Itifaki ilikiukwa katika uchunguzi Jamhuri ya Afrika ya Kati: Ban

Itifaki ilikiukwa katika uchunguzi Jamhuri ya Afrika ya Kati: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataiaf Ban Ki-moon amesema itifaki ilikiukwa katika  mchakato wa upelelezi kuhusu tuhuma za unyanyasaji wa kingono na ukatili dhidi ya watoto uliofanywa na ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu mjini Bangui.

Sauti -

Wahanga wa vita vya kemikali wakumbukwa, ikiwa ni miaka 100 tangu silaha hizo kutumika

Wahanga wa vita vya kemikali wakumbukwa, ikiwa ni miaka 100 tangu silaha hizo kutumika

Kumbukumbu ya mwaka huu ya wahanga wa vita vya silaha za kemikali ni ya muhimu saana kwani ni maadhimisho ya miaka 100 tangu kutumika kwa kiwango kikubwa kwa mara ya kwanza silaha za kemikali kwenye uwanja wa vita.

Sauti -