Hapa na pale

Jamii bado zina hofu potofu juu ya Ebola- IFRC

Jamii bado zina hofu potofu juu ya Ebola- IFRC

Wakati idadi ya maambukizi mapya ya Ebola ikipungua sana katika nchi za Guinea, Sierra Leone na Liberia, bado jamii zinaogopa wafanyakazi wa kibinadamu, kwa mujibu wa Muungano wa Mashirika ya Msalaba mwekendu, IFRC.

Sauti -

Nchi za Asia na Pasifiki zaahidi kutokomeza Ukimwi ifikapo mwaka 2030

Nchi za Asia na Pasifiki zaahidi kutokomeza Ukimwi ifikapo mwaka 2030

Nchi zipatazo 30 kutoka eneo la Asia na Pasifiki zimeahidi kuongeza kasi ya kubadili hali na kutokomeza ugonjwa wa Ukimwi katika eneo hilo ifikapo mwaka 2030. Ahadi hizo zimetolewa wakati wa mkutano baina ya serikali za Asia na Pasifiki kuhusu Ukimwi, ambao umefanyika wiki hii.

Sauti -

Njaa inaathiri wakimbizi wa Nigeria nchini Cameroun- WFP

Njaa inaathiri wakimbizi wa Nigeria nchini Cameroun- WFP

Katika kipindi cha wiki chache zilizopita, idadi ya watu wanaokimbia makwao Nigeria kutafuta hifadhi nchini Cameroun imeongezeka, kwa mujibu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani,

Sauti -

UNDP na washirika kupambana na ukatili wa kijinisa Misri

UNDP na washirika kupambana na ukatili wa kijinisa Misri

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendelo UNDP,  Baraza la wanawake  NCW,  kwa kushirikiana na wizara ya sharia, mambo ya ndani na wizara ya mambo ya kigeni ya Misri , zimezindua mpango wa kupambana na ukatili dhidi ya wanawake.

Sauti -

UNESCO yalaani mauaji ya mwanahabari wa Iraq Ali Al-Ansari

UNESCO yalaani mauaji ya mwanahabari wa Iraq Ali Al-Ansari

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, Irina Bokova, ameelezea kusikitishwa mno na mauaji ya mtang

Sauti -