Hapa na pale

MINUSMA yalaani ghasia huko Kidal nchini Mali

MINUSMA yalaani ghasia huko Kidal nchini Mali

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchiniMali, MINUSMA umeshutumu vikali ghasia za karibuni huko Kidal kaskazini mwa nchi hiyo na kutaka pande zote husika kujizuia.

Sauti -

Wataalam wa UM kuchunguza hali ya watu wenye asili ya Afrika Brazil

Wataalam wa UM kuchunguza hali ya watu wenye asili ya Afrika Brazil

Kundi la wataalam wa Umoja wa Mataifa kuhusu watu wenye asili ya Afrika litafanya ziara ya siku kumi nchini Brazil, kuanzia Disema 3 hadi 13 2013, ili kuchunguza masuala kadhaa yanayohusu haki za binadamu za watu wenye asili ya Afrika nchini humo.

Sauti -

Sudan Kusini yazindua ushirika wa kulinda haki za watoto

Sudan Kusini yazindua ushirika wa kulinda haki za watoto

Shirika la Kuhudumia watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limeipongeza serikali ya Sudan Kusini kwa kuanzisha shirikisho la wadau wa kulinda ha

Sauti -

UM wataka hatua zichukuliwe haraka baada ya ripoti za mauaji ya watoto Kinshasa :

UM wataka hatua zichukuliwe haraka baada ya ripoti za mauaji ya watoto Kinshasa :

Umoja wa Mataifa leo umetoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuchukua hatua haraka kufuatia ripoti za kusikitisha  za kupotea na kuuawa kwa watoto na vijana yaliyokwenda sanjari na operesheni ya serikali ya kukabiliana na uhalifu mjini Kinshasa.

Sauti -

Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa UM Yemen azuru Sa’ada:

Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa UM Yemen azuru Sa’ada:

Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Ismail Ould Cheikh Ahmed, amezuru mji wa Sa’ada Kaskazini mwa Yemen na kukutana na gava, tume ya rais, tume ya bunge, viongozi wa eneo hilo na  wadau wengine wa misaada ya kibinadamu.

Sauti -