Hapa na pale

UNMISS yaunga mkono uamuzi wa Muungano wa Afrika kuhusu Sudan Kusini

UNMISS yaunga mkono uamuzi wa Muungano wa Afrika kuhusu Sudan Kusini

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, Hilde Johnson ameunga mkono uamuzi wa baraza la amani na usalama la Muungano wa Afrika AU kuhusu kuunda tume ya kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo.

Sauti -

Hali ya usalama CAR yaendelea kuwa tete, maelfu waendelea kukosa makazi

Hali ya usalama CAR yaendelea kuwa tete, maelfu waendelea kukosa makazi

Hali ya usalama katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imeendelea kuwa tete hali ambayo imesababisha kuzuka kwa wimbi kubwa la raia wanaopoteza makazi  katika mji mkuuBangui. Hiyo ni kwa mujibu wa shirika ka Umoja wa Mataifa linalohusika na misaada ya kiutu OCHA. George Njogopa na taarifa zaidi.

Sauti -

Ban amteua Philippe Lazzarini wa Switzerland kuwa mwakilishi wa masuala ya misaada ya kiutu Somalia

Ban amteua Philippe Lazzarini wa Switzerland kuwa mwakilishi wa masuala ya misaada ya kiutu Somalia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon leo ametangaza uteuzi wa Bwana Philippe Lazzarini wa Switzerland kuwa kaimu mwakilishi maalum mkazi na mratibu wa misaada ya kiutu nchini Somalia.

Sauti -

Ban azungumza na Rais Kiir wa Sudan Kusini