Hapa na pale

Ugiriki na Jamhuri ya zamani ya Yugoslavia zakubali kujadiliana kutanzua mzozo

Ugiriki na Jamhuri ya zamani ya Yugoslavia zakubali kujadiliana kutanzua mzozo

Ugiriki na iliyokuwa Jamhuri ya Yugoslavia ya Macedonoia zimekubaliana kwa msingi kuanzisha mazungumzo ya awali nchini ya Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kufikia suluhu juu ya mzozo wa muda mrefu kuhusiana na jina rasmi la eneo hilo.

Sauti -

Ban asifu hatua ya kuwepo kwa mazungumzo kwa Israel na Palestina

Ban asifu hatua ya kuwepo kwa mazungumzo kwa Israel na Palestina

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesifu juu ya kuwepo kwa mazungumzo ya kuendelea kusaka amani baina ya Palestina na Israel, mazungumzo yaliyofanyika huko Amman, Jordan yakihudhuriwa pia n

Sauti -