Hapa na pale

Ugonjwa wa Manjano wazidi kusambaa Darfur, chanjo ya dharura kuanza kutolewa: WHO

Ugonjwa wa Manjano wazidi kusambaa Darfur, chanjo ya dharura kuanza kutolewa: WHO

Kampeni ya dharura ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa homa ya Manjano inaendelea huko Darfur nchini Sudan kwa lengo la kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huo.

Sauti -

Kuwait na Iraq zina fursa nzuri zaidi za kuimarisha uhusiano wao: Ban

Kuwait na Iraq zina fursa nzuri zaidi za kuimarisha uhusiano wao: Ban

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliyeko ziarani Mashariki ya Kati, hii leo alitembelea Kuwait ambako ameeleza kutiwa moyo na maendeleo ya uhusiano kati ya nchi na Iraq, uhusiano ambao ames

Sauti -

UNICEF yalaani shambulio la jana dhidi ya shule huko Damascus

UNICEF yalaani shambulio la jana dhidi ya shule huko Damascus

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limelaani shambulio la jana kwenye shule moja iliyoko karibu na mji mkuu wa Syria Damascus

Sauti -