Hapa na pale

UNHCR yajiandaa kupeleka misaada Syria iwapo mapigano yatasitishwa

UNHCR yajiandaa kupeleka misaada Syria iwapo mapigano yatasitishwa

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limejiandaa kupeleka misaada ya dharura kwa maelfu ya familia za raia wa Syri

Sauti -

Rushwa kwenye mifumo ya mahakama ni kitisho kwa haki za binadamu asema Mtaalamu wa UM

Rushwa kwenye mifumo ya mahakama ni kitisho kwa haki za binadamu asema Mtaalamu wa UM

Kushamiri kwa vitendo vya rushwa kwenye mifumo ya kimahakama kunazua kitisho ambacho kinazorotesha haki za binadamu, ameonya mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Kufuatia mafuriko ya Benin, Jumuiya ya kimataifa yasaka njia mpya kuwasaidia waathirika

Kufuatia mafuriko ya Benin, Jumuiya ya kimataifa yasaka njia mpya kuwasaidia waathirika

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa na ule wa Jumuiya ya nchi za kiislamu OIC ambao ulikuwa nchini Benin kutathmini hali mbaya iliyosababishwa na mafuriko ya hivi karibuni umejadilia haja ya kutumwa misaada ya dharura kuwanusuru mamia ya watu ambao maisha yao yako taabani.

Sauti -