Hapa na pale

Mkutano wa mawaziri wa UNECE waafikia kukabiliana na changamoto zinazoletwa na uzee

Mkutano wa mawaziri wa UNECE waafikia kukabiliana na changamoto zinazoletwa na uzee

Mkutano wa mawaziri kuhusu watu wanaozeeka umehitimishwa mjini Vienna, Austria, huku mawaziri hao wakiazimia kuhakikisha jamii ya watu wa umri wote kwa kuboresha hali ya maisha na namna ya kuzeeka.

Sauti -

WFP yaandaa mawasiliano ya mtandao kuhusu oparesheni zake nchini Syria

WFP yaandaa mawasiliano ya mtandao kuhusu oparesheni zake nchini Syria

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP hii leo limewapa waandishi wa habari na watu wanaotumia mawasilino ya mtandao fursa ya ku

Sauti -

Dhuluma kwa wanawake na wasichana ni kati ya changamoto zinazokumba jamii za kiasili

Dhuluma kwa wanawake na wasichana ni kati ya changamoto zinazokumba jamii za kiasili

Dhuluma dhidi ya wanawake na wasichana na kuporwa kwa mali asili ni kati ya changamoto zinazozikumba jamii za asili kwa sasa amesema mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watu wa asili James Anaya.

Sauti -