Hapa na pale

WFP yaanza kusambaza chakula kwa waathirika wa mafuriko Pakistan

WFP yaanza kusambaza chakula kwa waathirika wa mafuriko Pakistan

Shirika la Mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP limeanza kusambaza huduma ya chakula kwa mamia ya watu walioathirika na mafur

Sauti -

Nyota wa Bollywood awa balozi wa hisani UM:UNAIDS

Nyota wa Bollywood awa balozi wa hisani UM:UNAIDS

Umoja wa Mataifa umemtangaza nyota wa filamu Bollywood na mlimbwende wa zamani wa India Aishwarya Rai Bachchan kuwa balozi wake wa hisani atayechukua jukumu la kukabiliana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

Sauti -

UM waanzisha fursa mtandaoni kutoa uzoefu nchi zilizopitia vita

UM waanzisha fursa mtandaoni kutoa uzoefu nchi zilizopitia vita

Umoja wa Mataifa umezindua kile kinachoitwa fursa mtandaoni ambao utatoa nafasi kwa nchi mbalimbali duniani kuwasilisha uzoefu wa baada ya vita.

Sauti -

Ban afanya majadiliano na rais wa Iran kuhusu mzozo wa Syria na hali ya mashariki ya kati

Ban afanya majadiliano na rais wa Iran kuhusu mzozo wa Syria na hali ya mashariki ya kati

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo amekuwa na mazungumzo na rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ambaye yuko New York kuhudhuria mkutano wa kila mwaka unaowaleta pamoja wakuu wa nchi ulimweng

Sauti -