Hapa na pale

Wanawake wengi katika nchi za Jumuiya ya Ulaya wako hatarini kupoteza kazi

Wanawake wengi katika nchi za Jumuiya ya Ulaya wako hatarini kupoteza kazi

Ripoti moja iliyotolewa na shirika la kimataifa imesema kuwa wanawake ambao wanafanya kazi katika sekta za umma walioko katika nchi zilizoko kwenye Umoja wa Jumuiya ya Ulaya wanakabiliwa na hali ngumu iliyosababishwa na tukio la kupunguza ajira na kuondoka kwa marupurupu ya ujira.

Sauti -

Benki ya Dunia yaonya kuhusu Kupanda kwa Bei ya Vyakula

Benki ya Dunia yaonya kuhusu Kupanda kwa Bei ya Vyakula

Benki ya dunia imeonya kuwa hali ya ukame inayoendelea kushuhudiwa nchini Marekani na hali zilizopo kwenye nchi zingine zinazozalisha nafaka na kupanda ya bei ya vyakula huenda vikaathiri nchi maskini.

Sauti -

Jordan yafungua Kambi Mpya kwa Wakimbizi kutoka Syria

Jordan yafungua Kambi Mpya kwa Wakimbizi kutoka Syria

Huku watu zaidi wakiendelea kuihama Syria taifa jirani la Jordan limefungua kambi mpya kwa lengo la kuondoa misongamano iliyo kwenye mpaka waliko maelfu ya raia wa Syria.

Sauti -

WFP na washirika wake wajiandaa Kutoa Misaada ya Chakula nchini Zimbabwe

WFP na washirika wake wajiandaa Kutoa Misaada ya Chakula nchini Zimbabwe

Ripoti mpya kuhusu mahitaji ya chakula nchini Zimbabwe inasema kuwa mmoja kati ya watu watano sehemu za vijijini nchini humo ambao ni karibu watu milioni 1.6 watahitaji msaada wa chakula msimu wa njaa unaokuja ikiwa ni asilimia 60 zaidi ya waliohitaji msaada kama huo msimu uliopita.

Sauti -