Hapa na pale

Kukosekana kwa dhana za kufundishia ni kikwazo kwa elimu ya msingi Afrika-UM

Kukosekana kwa dhana za kufundishia ni kikwazo kwa elimu ya msingi Afrika-UM

Mamia ya watoto wanaosoma katika shule za msingi katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara wanatajwa kuandamwa na matatizo chungu mbovu ikiwemo kuwepo kwa mlundikana mkubwa wa wanafunzi katika darasa moja jambo linalowafanya washindwe kupata elimu bora.

Sauti -