Hapa na pale

Ban ataka mabadiliko nchini Misri kufanyika mapema

Ban ataka mabadiliko nchini Misri kufanyika mapema

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonyesha kuunga mkono mabadiliko nchini Misri wakati taifa hilo linapoelekea kuwatimizia watu matarajio yao huku likijindaa kuingia kwenye uongozi wa kiraia.

Sauti -

Kuwa mkimbizi sio chaguo ni shuruti:Jolie

Kuwa mkimbizi sio chaguo ni shuruti:Jolie

Balozi wa hisani wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR Angelina Jolie anaamini kuwa kumlazimisha mtu mmoja kwe

Sauti -

Mashirika ya FAO, IFAD na WFP yatoa wito kwa mataifa ya G20 kuongeza juhudi za kukabiliana na njaa

Mashirika ya FAO, IFAD na WFP yatoa wito kwa mataifa ya G20 kuongeza juhudi za kukabiliana na njaa

Mashirika ya chakula ya Umoja wa Mataifa, yametoa wito kwa mataifa wanachama wa G20 kwenye mkutano Mexico kuongeza juhudi zao katika kukabiliana na njaa.

Sauti -

UNDP yawasilisha mpango kuhusu ujenzi wa soko la siku za usoni