Hapa na pale

UNHCR yaweka Mchakato wa Kuwachukulia Hatua za Kisheria Wahalifu wa Ngono

Visa vya ubakaji na dhuluma za ngono katika kambi ya wakimbizi ya Kiziba nchini Rwanda vinapungua, lakini athari za kimwili na hisia husalia kuwa kubwa visa hivi vinapotokea.

Sauti -

Ban aelezea wasiwasi uliopo kufuatia Kudunguliwa kwa Ndege ya Uturuki nchini Syria

Ban aelezea wasiwasi uliopo kufuatia Kudunguliwa kwa Ndege ya Uturuki nchini Syria

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea wasi wasi uliopo kufuatia kudunguliwa kwa ndege ya kijeshi ya Uturuki nchini Syria.

Sauti -

Watu 7 wafariki katika ghasia zaidi Gaza na kusini mwa Israel - OCHA

Watu 7 wafariki katika ghasia zaidi Gaza na kusini mwa Israel - OCHA

Shirika la kuratibu mipango ya dharura la Umoja wa Mataifa, OCHA, limesema kuwa kuongezeka kwa ghasia kwenye eneo la Gaza na kusini mwa Isarel kumepelekea kuuawa kwa WaPalestina 7, wakiwemo raia watatu, na kuwajeruhi Wapalestina wengine 14, na wanajeshi 4 wa Israel.

Sauti -

Ban akaribisha kuanza kwa mazungumzo ya kitaifa nchini Lebanon

Ban akaribisha kuanza kwa mazungumzo ya kitaifa nchini Lebanon

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekaribisha kuanza kwa mazungumzo ya kitaifa kati ya viongozi wa kisiasa nchini Lebanon.

Sauti -