Hapa na pale

Mkutano wa Rio watambua Umuhimu wa Mkataba wa CITES

Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo endelevu wa Rio+20 umeitambua makala moja inayozungumzia umuhimu wa mkataba kuhusu biashara ya kimataifa kwa viumbe vilivyo kwenye hatari ya kuangamia.

Sauti -

UNDP Yazindua Machapisho yanayomulika Maendeleo ya Dunia

UNDP Yazindua Machapisho yanayomulika Maendeleo ya Dunia

Shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP limezindua chapisho lake la rangi lilaolezea mafanikio iliyoyapata wakati ikitekeleza majukumu yake ya kimaendeleo duniani kote.

Sauti -

UNAMA yayataka Makundi Hasimu kuwajibika kuulinda Usalama wa raia Afghanistan

UNAMA yayataka Makundi Hasimu kuwajibika kuulinda Usalama wa raia Afghanistan

Wiki iliyopita, raia 214 wa Afghanistan waliuawa au kujeruhiwa katika matukio 48 tofauti. Mashambulizi ya makundi yanayoipinga serikali yalisababisha asilimia 98 ya vifo vya raia.

Sauti -

Waathirika kwa Machafuko Kaskazini mwa Mali Wakumbukwa

Waathirika kwa Machafuko Kaskazini mwa Mali Wakumbukwa

Kiasi cha dola za kimarekani 770,000 na kingine 70,000 kinatazamiwa kutolewa kwa ajili ya kulipiga jeki shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi

Sauti -

UNHCR yaweka Mchakato wa Kuwachukulia Hatua za Kisheria Wahalifu wa Ngono